Burundi: Oumbusman amehunga Burundi, uongo au ukweli?

Mouhamed Rukara
Mouhamed Rukara

Oumbusman amehunga Burundi, uongo au ukweli?

Habari za kutoka kwa Journal Igihe inasema kama Mouhamed Rukara akiwa Umbusman wa Burundi akama amesha hunga Burundi akipitia kwa AIrport ya Bujumbura bila Bodyguard hata umoja.

Inci alio elekea haija julikana na Habari hiyo haija ongelea bado na Gouvernement ya Burundi kama ni ukweli au uongo.

Hivyo vikawa nyuma ya Président wa Assemble na Deuxième Vice Président kusema kama wamehunga Inchi kwa woga wa kuuwawa.

Leave a Reply