Burundi imepinga amri yakurudisha nyuma uchaguzi. Uchaguzi wa Rais ni 15/07/2015 na wanao jiingiza kwaundani wajuwe Burundi ni taifa Uhuru asema ivyo Raisi wa Burundi Nkurunziza.
Kikao cha Dar kilikuwa kimemteuwa Raïs wa Uganda Museveni kusimamia kama msuluhishi. Amepingwa kabla hajaanza chochote na kuujiuliza yeye kishaongoza mihula mingapi?
UviraOnline