KUMBUKUMBU.
Tarehe 20 novemba 2012, kundi la waasi wa M23 limedhibiti mji wa Goma ukiwa ni mji mkuu wa mkoa wa kivu kaskazini mashariki mwa Congo. Baada ya masiku kumi yaani tarehe 01 desemba mwaka huo kundi la M23 likaondoka mjini Goma.
NOSTALGIE.
Le 20 novembre 2012, les rebelles du mouvement do 23mars (m23) ont pris d’assaut la ville de Goma qui est la capitale provinciale du Nord~Kivu dans l’est de la République Démocratique du Congo. Après 10 jours c’est à dire le 1er décembre de la même année les rebelles du M23 quittent la ville de Goma.