Walokole wa uvira wanasherekea sikukuu ya mwaka mpya 2016

Watangazaji habari wa UviraOnline wamezunguuka mji wa Uvira usiku wa tarehe 31/1/2015 kuamkia tarehe 01/01/2016, tangu saa mbi za Usiku. Tofauti na miaka iliyopita, makanisa mengi na Waumini toka makanisa mbalimbali wamekesha usiku huo wakiimba nyimbo za sifa na maabudu, wakimtukuza Mwenyezi Mungu na kumshukuru kwa mambo makuu aliyowatendeya mwaka wa 2015.

Waimbaji wenye vipaji vya juu wameburudisha mikutano mbalimbali hayo na Uwepo wa Mungu umesikika. Makanisa hayo ni kama : 8e CEPAC MULONGWE, Cité Bethel, El Shaddai, AOGI, Nayoth Ministry, na kadhalika. Wamepata pia fursa ya kumsihi Mungu wawepo na ulinzi, baraka na fanaka kwa mwaka mpya huu wa 2016.

Walokole toka Makanisa hayo tuliyoyatembeleya usiku huo, wameonesha furaha yao ya tarehe mosi january 2016.


Uviraonline : Aubain Alan Popov MWAKA MIGANI
rdc_WALOKOLE WA UVIRA_6rdc_WALOKOLE WA UVIRA_24rdc_WALOKOLE WA UVIRA_22rdc_WALOKOLE WA UVIRA_21rdc_WALOKOLE WA UVIRA_9rdc_WALOKOLE WA UVIRA_7rdc_WALOKOLE WA UVIRA_8rdc_WALOKOLE WA UVIRA_10rdc_WALOKOLE WA UVIRA_11rdc_WALOKOLE WA UVIRA_12rdc_WALOKOLE WA UVIRA_13rdc_WALOKOLE WA UVIRA_14rdc_WALOKOLE WA UVIRA_15rdc_WALOKOLE WA UVIRA_16rdc_WALOKOLE WA UVIRA_rdc_WALOKOLE WA UVIRA_3rdc_WALOKOLE WA UVIRA_5ardc_WALOKOLE WA UVIRA_27ardc_WALOKOLE WA UVIRA_23rdc_WALOKOLE WA UVIRA_26