Tags: swahili

Photos: Ordination pastorale de Janvier E. Biambo et de l’Ancien Anzuruni Mwenebitu à Sherbrooke

Sherbrooke, Canada le 20 mai 2017, ordination pastorale de Janvier Ebwela Biambo et de l’Ancien Anzuruni Mwenebitu Engulumba. Ordonnés par l’église Évangélique Missionnaire de Jésus Christ au Québec. Voici en photos l’événement tel que vu par la Camera de Mr 8650 Aliance Ngongo d’UviraOnline. (un peu de patience les photos peuvent prendre qlq minutes avant…

Rwanda: la loi pour faire du swahili une langue officielle adoptée au Parlement

Les députés rwandais ont adopté ce mercredi 8 février une loi visant à faire du swahili la quatrième langue officielle du pays aux côtés du kinyarwanda, la langue locale, du français et de l’anglais. Le swahili est la langue la plus parlée d’Afrique subsaharienne et c’est aussi, depuis 2004, une des langues officielles de l’Union…

RDC-Canada: Two girls of congo (Uvira) origin killed in a crash in Ottawa

“What I would like people to remember about them is their kindness, their generosity.” Kayamba Muzaliwa is speakinng of his two daughters, 18-year-old Elizabeth and 16-year-old Rehema. Remembering the best of them on the very day he lost them. The two young women were killed in a crash between a dump truck and a car…

Uvira-RDC: Kumbukumbu ya miaka 498 ya kanisa la kiluteri ERLC

Kumbukumbu ya miaka 498 ya matengenezo ya kanisa la kikristu ilisherehekewa siku ya Mungu novemba mosi jijini Uvira,  kwenye kanisa la matengenezo ya kiluteri inchini Congo ya kidemokrasia, kwenye kata ya nyamianda . Kwake kiongozi na mwakilishi wa kanisa la kiluteri ERLC, siku hio ina umuhimu kwa makanisa yote ya kiprotestanti. Kwa sababu ni hayo ndio imetiya misingi ya matengenezo…

Montréal-Canada: Cooperative swahili du Canada, huundwa.

Siku ya inn le 15 october waswahili kutoka inchi mbali mbali, walikutana hapa Montreal – Canada, ili yakuzungumuza kuhusia uundaji wa cooperative ya waswahili. UviraOnline alikutana na mumoja wao. WILLIAM MUYUKU: ni nini cooperative swahili du canada SHEMU FALINGO: Cooperative kwa Kiswahili ni: KUSHIRIKIANA.  WILLIAM MUYUKU: kwanini mumeiunda shirika hili (coperative) hii, lengo lake SHEMU…

Nos Artistes: Rencontre na muimbaji Pst Isaac Lufungulo

UviraOnline: Ni nani pastor Lufungulo? Pst Isaac Lufungulo: Mimi naitwa Pst. Isaac Aksanti Lufungulo. Niko Mu Komgomaani, Nili zaliwa D.R.Congo. Bukavu- Sud Kivu, mwaka wa 1988. UO: Ulianzia wapi kazi ya uimbaji na mwaka gani? Pst Isaac Lufungulo: Mimi nili zaliwa katika Familiya isiyo kuwa ya wa Christo, nilikomala katika maisha ya bwizi tene kama vile, Rasta…

Nos Artistes: Rencontre na muimbaji Nabindu W. Stani

Jumaa hili kwa kipindi chetu cha NOS ARTISTES, UviraOnline ilikutanana na mwana muziki NABINDU W. STANI. Ni mwanamziki anayeimba nyimbo za Injili ya Yesu Kristo (nyimbo zenye ushauri na Ujumbe ). Kwa leo anaishi mjini Ottawa inchini Canada, tangu mwaka wa 2008. Nabindu Alianza uimbaji wa nyimbo za kidini akiwa na umri mdogo katika mji…