Tags: moto

Bukavu-RDC: Ajali ya moto imejitokeza mujini Bukavu katika mtaa wa Ibanda

Ajali ya moto imejitokeza hapa mujini bukavu katika mtaa wa ibanda mida hiyi ya mchana kati kwenye avenue sayo nyuma ya hotel MONT KAHUZI. Duru zetu za karibu zilieleza kwamba ya pata nyumba kumi ndizo ziliweza kuhunguwa na moto huu nakupelekeya vitu vya samani navyo kuweza kuhunguwa. Utafahamu kwamba wenyeji wa nyumba hizo wamejaa namushangao…