Tags: kanisa

Uvira-RDC: Manifestation de musulmans pour confirmer  Mwamba Hassan Hamza comme leur seul répresentant

(kiswahili kitafata) Plus de cinq cents fideles musulmans issu de dix centre de la région islamique dUvira, venu de Makobola au nord du territoire d’Uvira et Kamanyola à Walungu viennent d’organiser une marche de manifestation depuis la place du monument au quartier Kimanga jusqu’au bureau du territoire d’Uvira. L’objectif est d’exprimer la volonté et le point de vue…

Walokole wa uvira wanasherekea sikukuu ya mwaka mpya 2016

Watangazaji habari wa UviraOnline wamezunguuka mji wa Uvira usiku wa tarehe 31/1/2015 kuamkia tarehe 01/01/2016, tangu saa mbi za Usiku. Tofauti na miaka iliyopita, makanisa mengi na Waumini toka makanisa mbalimbali wamekesha usiku huo wakiimba nyimbo za sifa na maabudu, wakimtukuza Mwenyezi Mungu na kumshukuru kwa mambo makuu aliyowatendeya mwaka wa 2015. Waimbaji wenye vipaji…

Uvira – RDC : Sikukuu ya Noeli 2015

 Wakaaji wa mji wa Uvira, baada ya kukabiliwa na wooga wa wezi, wizi na ubakaji kwa siku nyingi, wamebahatika kusherehekea sikukuu ya Noeli katika hali ya utulivu. Viongozi wa serikali wameahidi kuchunga ulinzi wakati huu wa sikuu kubwa. Tarehe 24 desemba, makanisa mengi yamebatiza watu kwenye maji mengi ya Bahari ya Tanganyika. Kanisa la 8e…

Avertissement aux personnes qui couchent avec les animaux  (ZOOPHILIE)

Avertissement aux personnes qui couchent avec les animaux  (ZOOPHILIE) tel que révélé par Dieu au Pasteur Nehemie Morisho Makanda de l’ Église Christ l’Angeau de Dieu qui ôte les péchés du Monde. Vidéo en deux parties: Première partie: Deuxième partie  

Uvira-RDC: Kumbukumbu ya miaka 498 ya kanisa la kiluteri ERLC

Kumbukumbu ya miaka 498 ya matengenezo ya kanisa la kikristu ilisherehekewa siku ya Mungu novemba mosi jijini Uvira,  kwenye kanisa la matengenezo ya kiluteri inchini Congo ya kidemokrasia, kwenye kata ya nyamianda . Kwake kiongozi na mwakilishi wa kanisa la kiluteri ERLC, siku hio ina umuhimu kwa makanisa yote ya kiprotestanti. Kwa sababu ni hayo ndio imetiya misingi ya matengenezo…

Nos Artistes: Rencontre na muimbaji Nabindu W. Stani

Jumaa hili kwa kipindi chetu cha NOS ARTISTES, UviraOnline ilikutanana na mwana muziki NABINDU W. STANI. Ni mwanamziki anayeimba nyimbo za Injili ya Yesu Kristo (nyimbo zenye ushauri na Ujumbe ). Kwa leo anaishi mjini Ottawa inchini Canada, tangu mwaka wa 2008. Nabindu Alianza uimbaji wa nyimbo za kidini akiwa na umri mdogo katika mji…