Tags: communauté

RDC-Canada: Two girls of congo (Uvira) origin killed in a crash in Ottawa

“What I would like people to remember about them is their kindness, their generosity.” Kayamba Muzaliwa is speakinng of his two daughters, 18-year-old Elizabeth and 16-year-old Rehema. Remembering the best of them on the very day he lost them. The two young women were killed in a crash between a dump truck and a car…

Remerciement & Photos: Kifo cha mama Nyota, Pastor Shemu na jamaa lake wanawashukuru

Ndugu na marafiki, Hamujambo, Katika hali ya umoja na upendo, napenda kushukuru Jamaa la Benebuvira kibinafsi, na Communautés zetu zote za wasema Kiswahili kwa jumla,  kwa upendo mulio uwonyesha hapa kwetu Canada na Uvira DR Congo pia. Baada ya kupatwa na musiba wa kufiwa na Maman yetu Mzazi na Tate ya watoto. Kwa hiyo tunatowa mkono wa…

Montréal-Canada: Mazishi ya Serge Saninga originaire wa Nord-Kivu RDC

Montreal leo  jeudi le 28 août 2015, exposition y’a corps ya ndugu Serge Saninga Ngabo kijana originaire ya  nord-kivu-RDC, alie uwawa na masasi le samedi 22 août 2015. Atazikwa kesho le 29 août 2015, communauté congolaise ya Montréal na rafiki balifika leo ku manifester amour na heshima yao kwa  kijana na jamaa yake huu mwenye…