Tags: artiste

Nos Artistes: Rencontre na muimbaji Pst Isaac Lufungulo

UviraOnline: Ni nani pastor Lufungulo? Pst Isaac Lufungulo: Mimi naitwa Pst. Isaac Aksanti Lufungulo. Niko Mu Komgomaani, Nili zaliwa D.R.Congo. Bukavu- Sud Kivu, mwaka wa 1988. UO: Ulianzia wapi kazi ya uimbaji na mwaka gani? Pst Isaac Lufungulo: Mimi nili zaliwa katika Familiya isiyo kuwa ya wa Christo, nilikomala katika maisha ya bwizi tene kama vile, Rasta…

Nos Artistes: Rencontre na muimbaji Nabindu W. Stani

Jumaa hili kwa kipindi chetu cha NOS ARTISTES, UviraOnline ilikutanana na mwana muziki NABINDU W. STANI. Ni mwanamziki anayeimba nyimbo za Injili ya Yesu Kristo (nyimbo zenye ushauri na Ujumbe ). Kwa leo anaishi mjini Ottawa inchini Canada, tangu mwaka wa 2008. Nabindu Alianza uimbaji wa nyimbo za kidini akiwa na umri mdogo katika mji…