Tags: amusement

Nos Artistes: Le groupe Best Life Music ya Bujumbura

Nos Artistes émission ya wanamuziki wetu inawaletea leo: BEST LIFE MUSIC Nyuma ya miaka 6 kundi la wanamziki wanao imba katika mtindo wa hip hop, wanamaliza album yawo ya kwanza inao vikwa jina la Arrependimento,  iyo kundi Best Life ya hao wanamziki 6 wakiwepo, Young Dany, Young Jpy, G Aka Kiboko na Mc Vitaa wanashukuru…