Tags: alikiba

Divertissement: Amani Kwanza Band ya Eto Dunia kutoka Canada ya burudisha wa Tanzania

  Bongo kuna mambo sana! Wasanii kibao wa kibongo Ijumaa usiku waliibukia katika bendi iliyojulikana kama Amani Kwanza iliyotambulisha albam yake ndani ya Mango Garden Kinondoni. Bendi ikatajwa kuwa inatokea Canada huku asilimia 3 tu ya wasanii ndio wakiwa wanatokea Canada na asilimia zilizosalia ni wasanii wa hapa nyumbani. Miongoni mwa wasanii hao walikuwepo mwimbaji…