Uvira-RDC: Dakika 5 juu yaukumbusho wa raiya 13 waliouwawa hapo Lemera

1 October 2015

Baada ya kuzikwa kwa watu 13 waliouliwa kikatili hapo lemera, hapo Uvira jana kumekusanywa pesa kiasi cha dala 12 000 kutoka kwenye benki ya TMB na nusu kutoka kwenye uongozi wa jimbo la kivu ya kusini, na pesa hizo kupewa zile familia 13 kama hivi;
Dala 1000 kwa familia ya kila mwanajeshi, na dala 1000 kwa familia mbili za wale raia.
Na mashirika mawili ya kiraia hapa tarafani uvira zinajiunga na familia na familia hizo kwa kuanzisha mpango wa kutoza mchango kwa kila raia na pia kuweka ukimya wa dakika tano tangu 12h00 hayo ni kwa siku mbili kuanzia leo hadi kesho.
Leo hii rahiya wote wa Uvira waliacha kazi zao na kuchunga ukimya wa dakika tano.

Pour UviraOnline: Kiza Djuma

Uvira_Minute de silence à UviraUvira_Minute de silence à Uvira_1Uvira_Minute de silence à Uvira_2Uvira_Minute de silence à Uvira_2