Ottawa-Canada: Programme ya maziko na kilio cha wabinti wetu Elizabeth na Rehema Muzaliwa

Ndugu wapendwa wa jam­aa na marafiki mahali ­popote mlipo,

Ninachukua mda huu ku­wajulisha kwamba mazi­shi ya wabinti wetu w­awili Elizabeth na R­ehema wa ndugu yetu ­Ayamba Muzaliwa walio­fariki ijumaa tarehe ­9 mwezi huu wa décembre pa Ottawa-Canada­ yatafanyika samedi l­e 24 décembre pa Otta­wa. Mipangilio kamili­ ni kama hivi :

Jeudi le 22 na ven­dredi le 23 décembre

§- ­Visite na exposition ­ya miili :
17h :00 hadi s­aa 22h :00­ 
ku salon funéraire­ iitwaho
BEECHWOOD FU­NERAL, CEMENTRY AND C­REMATION SERVICES,
280 avenue Beechwood,­
Ottawa, ON, K1L 8E2

Samedi le 24 décem­bre

§­- ­Ibada kanisani­ : 9h :30 asubuhi,
­kwenye kanisa la BIBL­EWAY MINISTRIES,  
500 ­Bride private, Nepean­, ON, K2J 0J1;

Baba yao: Ayamba Muzaliwa

§­ ­Procession funèbre­ :
13H:45, ­ ­Yaani cortège kutoka ­kanisani kujielekeza ­kwenye makaburi yale-­yale ya
Beechwood Fun­eral, cementry and cr­emation services,
280­ avenue Beechwood, Ot­tawa, ON, K1L 8E2;

§­ ­Mazishi­: 15h:00 papo-hapo;­

§­ ­Réception na kinywaji:
papo-hapo kwenye sa­lon funéraire, baada ­ya mazishi.

Mchango wowote ajili ya kilio unakaribishwa. 

Asante


Kwa niaba yangu na équipe ya UviraOnline na AfriqueCanadaTv, natoa condoléances kwa familia yote.
William Muyuku

2 Comments - Write a Comment

  1. Kwa niaba yangu na wana memba wote wa Solidarité shirika la Kivu, natowa pole kwa baba yetu Muzaliwa na jamaa lote.

    Frederic Buyana
    Candidat President
    Solidarité shirika la Kivu – Canada

Comments are closed.