Nos artistes: XBass – BENI, huruma sana

Kwawakati huu wa mivurugo inchini Congo, mauwaji ya Beni, mauwaji ya le 19 septembre na mengineyo. Tusikie wimbo huu anatuletea msanie XBASS anaye kaa huko Tanzania akiimba juu ya BENI