Nos Artistes: Rencontre na muimbaji Nabindu W. Stani

Nabindu w. Stani_2
Jumaa hili kwa kipindi chetu cha NOS ARTISTES, UviraOnline ilikutanana na mwana muziki NABINDU W. STANI.

Ni mwanamziki anayeimba nyimbo za Injili ya Yesu Kristo (nyimbo zenye ushauri na Ujumbe ). Kwa leo anaishi mjini Ottawa inchini Canada, tangu mwaka wa 2008.

Nabindu Alianza uimbaji wa nyimbo za kidini akiwa na umri mdogo katika mji wa Uvira inchini jamuhuri ya kidemokrasia ya Congo. Mwimbaji huyo wa nyimbo za injili alielezea UviraOnline kwamba alikutana na shida na majaribu nyingi katika huduma yake, kama ile na kutokuwa na mzamini, pia hakupata soko ya kuuza cd zake. Ikiwa ni mojawapo ya shida zinazowakumba wanamuziki.

Kwake yeye anaona kuwa anaendelea vizuri kwa siku hizi huko canada licha ya kuwa kwenye mji wa mazingira mabaya kiinjili.. Album yake yamwisho inaitwa RAFIKI YESU na iko na nyimbo tisa kwenye ya video na audio.

Iwapo kuna mwenye kuhitaji kuipata anaweza kutumia namba za simu hizi: 1-613 600 5098,

pia barua pepe unatumia anwani: ya nabindueternelgospel@gmail.com ,

facebook yake ni: Nabindu W Stani.

Kazalika munaweza pia kusikiliza nyimbo hizo kwenye youtube. Mungu awabariki.

UviraOnline alitia playlist (none-stop) ya nyimbo zake 20 hapa:

Nabindu w. StaniNabindu Stany_Nabindu stany

 

 

Nos Artistes:
Nouvelle fenêtre sur UviraOnline pour faire connaitre au grand public nos artistes musiciens. En faisant mes recherches j’ai découvert plusieurs artistes, groupes musicaux de chez nous Uvira, Fizi, Bukavu,Goma,Bujumbura, Kalemi, Kigali, … que la plupart de nous connaissons pas ou connaissons mal tout simplement. Alors, j’ai pensé qu’il serait une bonne chose si de temps en tant nous vous présentons ces groupes. Ainsi chaque jeudi nous vous présenterons un nouveau groupe ou artiste.
Vous pouvez nous proposer votre artiste ou groupe préféré à presse@uviraonline.com ou uviraonline@gmail.com
William Muyuku