Mwili wa MUHASANYA LUBUNGA aliyekuwa mbunge wa fizi umefika Baraka

MUHASANYA LUBUNGA aliyekuwa mbunge mchaguliwa wa tarafani Fizi kwa ngazi ya jimbo,mwana chama cha MSR ”Mouvement Social pour le Renouveau” aliyefariki septemba 11 jijini Nairobi nchini Kenya, leo hii mwili wake umefika baraka na kesho utasafirishwa fizi mjini kati ili kuzikwa.

AfriqueCanadaTv_MUHASANYA-LUBUNGA_1AfriqueCanadaTv_MUHASANYA LUBUNGA

 

Pour UviraOnlune: Kiza Djuma

One Comment on “Mwili wa MUHASANYA LUBUNGA aliyekuwa mbunge wa fizi umefika Baraka”

Comments are closed.