MADAKTARI KUTOKA CHINI WAPIGWA MARUFUKU NCHINI CONGO

DR. FÉLIX KABANGE

Hospitali na madaktari kutoka China wapigwa marufuku dr. Félix Kabange, waziri wa afya jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo alifahamisha jamanne kuwa hospitali na madaktari kutoka wakichina wamepigwa marufuku kuendesha shuhuli zao nchini humo.

Waziri Kabange alifahamisha kuwa madaktari hao hawaheshimu sheria ya DRC wanapoendesha kazi yao.Waziri Kabange alifahamisha kuwa serikali imechukuwa uamuzi huo wakupiga marufuku matibabu ya kichina kwa kuwa hospitali zinazoendesha tiba hiyo hazina ruhusa wala mikataba na serikali.
Katika mkutano wake na waandishi wa habari, Kabange alisema kuwa wahusika katika tiba za kichina hushirikiana na “wataalamu” wa tiba wanaotia mashaka na kutumia baadi ya vyakula visivyo ruhusiwa Jamuhuri ya kidemokrasia ya Kongo.
Madaktari kutoka China huchanganya tiba ya kisas