KUMBUKUMBU: 05 Desemba 2013, kifo cha NALSON MANDELA

MandelaKUMBUKUMBU:
Tarehe 05 Desemba 2013, kifo cha NALSON MANDELA rais wa kwanza mweusi wa Afrika kusini akiwa na umri wa miaka 95. Akizaliwa tarehe 18 julai 1918 katika kijiji cha mvenzo mkoani cap,alipokuwa na umri wa miaka 25 yaani mnamo mwaka wa 1943 alijiunga na chama tawala cha ANC.
 
 
NOSTALGIE.
Le 05 Décembre 2013, la mort de NALSON MANDELA le premier président noir en Afrique du Sud à l’âge de 95 ans. Né le 18 juillet 1918 à mvenzo province du cap à l’âge de 25 ans donc à 1943 il entre au congrès national africain ANC.