Kumbukumbu: TWO PAC SHAKUR, ROBERT ROBINSON .

two pack13 septemba 1996 amefariki msanii TWO PAC SHAKUR, akiwa na umri wa miaka 25 kwa kupigwa risasi ndani ya gari lake hapo nevada nchini Marekeni, amezaliwa 16 juni 1971, ameanza kazi zake mnamomwaka wa 1988 hadi alipofariki.na kazi zake ilikuwa; mcheza rap, muigizaji, mtayarishaji wa rekodi, mshairi, mwandishi~skrini, mwanaharakati na mtunzi.

 

 

 

 

 

 

Robert robinson13 septemba 1886 ni siku ya kuzaliwa ROBERT ROBINSON uingereza na kufariki tarehe 08 februari 1975 hapo uingerza, akiwa na umri wa miaka 89, mnamo mwaka 1947 amepata tuzo kwa ujuzi wake wa kemia (chimie).

 

 

 

 

 

 

Pour UviraOnline: Kiza Djuma Akbar

 

Leave a Reply