KUMBUKUMBU: Tarehe 30 oktoba, shambulizi katika kijiji cha Kampi cui Beni Kivu ya kaskazini


ecole oichaKUMBUKUMBU.

Tarehe 30 oktoba 2014, majira ya saa 10 asubui shambulizi limetokea katika kijiji cha Kampi cui Beni Kivu ya kaskazini na watu 26 kufariki,shirika la raia likithibitisha kwamba shambulizi hilo ni la ADF NALU.


 

NASTALGIE.

Le 30 octobre 2014, vers 4h attaque à beni dans le village de Kampi cui à Beni Nord~Kivu faisant 26 morts, selon la société civile cette attaque est l’œuvre de l’ADF NALU les rébelles ougandais.