KUMBUKUMBU. * Tarehe 28 septemba

NOSTALGIE.

Le 28 septembre 1988,

Wema seputoLa naissance de WEMA ABRAHAM SEPETU connue sous le nom de WEMA SEPETU, elle est une actrice tanzanienne donc elle joue dans des différents films. elle est née dans une famille de quatre enfants dont elle est la dernière.

Le 28 septembre 2009,

En GUINÉE CONAKRY, plus de 150 personnes ont été tuées officiellement par les militaires de garde présidentiel au stade de conakry dans une manifestation de l’opposition contre MOUSSA DADIS CAMARA.

 

 

 

 

massacre guinéeKUMBUKUMBU. *

Tarehe 28 septemba 1988,

Alizaliwa WEMA ABRAHAM SEPETU ajulikanae kwa jina la WEMA SEPETU,huyu ni mcheza filamu wa kitanzania aliyezaliwa katika familia ya watoto wanne akiwa ni mtoto wa mwisho.

Tarehe 28 septemba 2009,

Nchini GUINEA CONAKRY zaidi ya watu 150 waliuwawa na vikosi vya ulunzi vya rais katika uwandja wa Conakry walipokuwa wakiandamana kupinga utawala wa MOUSSA DADIS CAMARA.