KUMBUKUMBU. 08 desemba, kuzaliwa kwa MAMADU MUSTAFA NDALA

KUMBUKUMBU.

Mamadou ndalaTarehe 08 desemba 1978, kuzaliwa kwa MAMADU MUSTAFA NDALA mjini ibambi tarafani wamba mkoa wa mashariki na kufariki tarehe 02 januari 2814 kwa kupigwa bomu ndani ya gari lake akiwa pamoja na walinzi wake wawili. Mamadu akipewa mafunzo na kijeshi na; wabeleji,wangereza wamarekani na wachina alikuwa kamanda wa batalioni ya 42 katika jeshi la FARDC, alipata umaarufu pale alipopata ushindi dhidi ya kundi la waasi wa M23.

NOSTALGIE.

Le 08 décembre 1978, la naissance de MAMADU MUSTAFA NDALA à Ibambi dans le territoire de wamba province Orientale et le mort le 02 janvier 2014 calciné dans sa jeep avec deux des ses gardes du corps de suite d’une ambuscade tendue.

Mamadu formé par des instructeurs; Belges, Anglais, Américains et Chinois, il était le commandant du 42é bataillon des commandos des unités de réaction rapide des FARDC, il s’est rendu célèbre en remportant des pouvoirs éclatantes sur la rebellion du M23.