Kalemie RDC: Mtihani wa taifa umeisha

Kalemie le 26/06/2015
Mtihani wa taifa uliya anzishwa kote incini DRC ulifika ukingoni hii siku ya ine.

Hapa kalemie wanafunzi elfu 13450, diyo wali fanza mitihani hiyo. Kati yao, wana wake 62000. kwaniyaba ya viongozi kwa mwaka huu kuna kuwa upungufu kidogo.
Hali ilionekana hii siku ya tatu mu barabara za kalemie ni kwamba, wanafunzi wali kua na furaha nyingi, na wengine kuchana hata uniforme zao, na wengine kujipa pourcent wanazo zifikiriya.
Tulio wauliza walisema yakwamba huu ni mwaka wao wa mwisho wa kuvaa uniforme.

Pour UviraOnline: Zabuloni Furahisha

RDC kalemie