Category: __Kumbukumbu – Nostalgie

KUMBUKUMBU: 05 Desemba 2013, kifo cha NALSON MANDELA

KUMBUKUMBU: Tarehe 05 Desemba 2013, kifo cha NALSON MANDELA rais wa kwanza mweusi wa Afrika kusini akiwa na umri wa miaka 95. Akizaliwa tarehe 18 julai 1918 katika kijiji cha mvenzo mkoani cap,alipokuwa na umri wa miaka 25 yaani mnamo mwaka wa 1943 alijiunga na chama tawala cha ANC.     NOSTALGIE. Le 05 Décembre…

KUMBUKUMBU: Tarehe 03 desemba 1967, Dr CHRISTIAAN BARNARD

KUMBUKUMBU. Tarehe 03 desemba 1967 katika mji wa cape town nchini afrika kusini mnamo hospitali groote schuur daktari CHRISTIAAN BARNARD amefaulu kwa mara ya kwanza katika historia ya ulimwengu kuhamisha moyo kutoka kwa mwanadamu mmoja kwenda kwa mwanadamu mwengine.      NOSTALGIE. Le 03 décembre 1967 à cape town dans l’hôpital groote schuur en Afrique…

KUMBUKUMBU.  Tarehe 11 novemba 1975, Angola imepata uhuru

KUMBUKUMBU. Tarehe 11 novemba 1975, nchi ya Angola imepata uhuru kutoka kwa ureno, Angola ikiwa ni nchi inayopatikana barani afrika. Ikiwa imegawika katika mikoa 18 na kuchukua nafasi ya 23 ulimwenguni na nafasi ya 7 barani afrika kwa ukubwa wa km mraba 1,246,700.   NOSTALGIE. Le 11 novembre 1975, l’indépendance d’Angola qui est un pays…

KUMBUKUMBU: Tarehe 03 Novemba, Kuzaliwa Kwa BRENDA FASSIE

KUMBUKUMBU Tarehe 03 Novemba 1964, Kuzaliwa Kwa BRENDA FASSIE johanisburg afrika kusini, alikuwa muimbaji wa asili ya xhosa. Baba yake alifariki akiwa na miaka miwili, baadae akaanza kupata kwa kuimba nyimbo kwa watalii akisaidiwa na mamae aliyekuwa mpiga piano.     Tarehe 03 novemba 1996, kufariki kwa JEAN BEDEL BOKASSA, akiwa na miaka 75, katika…

KUMBUKUMBU: 29 oktoba, HELLEN JONSON

KUMBUKUMBU. Tarehe 29 oktoba 1938, kuzaliwa kwa mwanasiasa na rais wa Liberia HELLEN JONSON katika mji wa Monronvia Liberia. Tarehe 29 oktoba 1983, mtetemeko wa ardhi umekumba kaskazini-mashariki mwa Uturuki na kusababisha vifo vya watu 1330.   NOSTALGIE Le 29 octobre 1938, la naissance de la femme politique et présidente libérienne HELLEN JONSON à Monronvia…

KUMBUKUMBU: 28 octoba, MICHAEL CHILUFYA SATA

KUMBUKUMBU. Tarehe 28 oktoba 2014, kufariki kwa rais wa tano wa  zambia MICHAEL CHILUFYA SATA mjini london uingereza akiwa na umri wa miaka 77 alifariki siku nne baada ya nchi yake kuadhimisha nusu karne ya uhuru.   NOSTALGIE. Le 28 Octobre 2014, La mort du 5é président zambien MICHAEL CHILUFYA SATA à Londres à l’âge de…

KUMBUKUMBU: OLIVIER REGINALD TAMBO

KUMBUKUMBU. Tarehe 27 oktoba 1917, kuzaliwa kwa OLIVIER REGINALD TAMBO aliyekuwa mwanachama wa chama cha afrika kusini cha ANC. Alifariki tarehe 24 aprili 1993 akiwa na miaka 75.    NOSTALGIE. Le 27 octobre 1917,la naissance de OLIVIER REGINALD TAMBO partisant du parti politique sud~africain ANC et qui est mort le 24 avril 1993 à l’âge…

KUMBUKUMBU: 25 oktoba Uvira lilishikwa na majeshi ya LAURENT DESIRÉ KABILA

KUMBUKUMBU. Tarehe 25 oktoba 1996 , Uvira lilishikwa na majeshi chini ya uongozi wa LAURENT DESIRÉ KABILA, ili kumuondoa MOBUTU madarakani. Tarehe 25 oktoba 1997, SASSU NGUESSO amejitangaza rais wa jamuhuri ya watu wa kongo. Le 25 oktoba 1948, alizaliwa TARCICUS NGALALEKUNTWA askofu mtanzania. UviraOnline inawatakiya uchaguzi mwema wanainchi wa; tanzania, cote d’ivoire na kongo brazzaville.…

KUMBUKUMBU: Uhuru wa Zambia na Siku ya umoja wa mataifa

NOSTALGIE. Le 24 octobre 1964,l 'indépendance de la rhodésie du nord actuelle zambie par le royaume uni. Le 24 octobre journée des natios~unis, depuis la création de cette organisation neuf secrétaires ont dirigé cette organisation dont deux africains; l'egyptien BOUTROS BOUTROS GHALI et le ghaneen KOFI ANNAN.   KUMBUKUMBU Tarehe 24 oktoba 1964, rhodesia ya…

KUMBUKUMBU: RASHIDI YEKINI

KUMBUKUMBU. Tarehe 23 oktpba 1963,kuzaliwa kwa, katika mji wa kaduna nigeria, RASHIDI YEKINI alikuwa mchezaji wa kimataifa alifariki tarehe 04 mei 2012 akiwa na umri wa miaka 48.  NOSTALGIE. Le 23 octobre 1963, la naissance de RASHIDI YEKINI à kaduna au nigéria, RASHIDI YEKINI qui est un footballeur international nigérien est mort le 04 mai…

KUMBUKUMBU: ARSENE CHARLES

KUMBUKUMBU. Tarehe 22 oktoba 1949, alizaliwa ARSENE CHARLES ERNRST WENGER katika mji wa alsace ufaransa, akijulikana kwa jina la ARSENE WENGER alikuwa mchezaji wa mpira wa miguu kwa sasa ni mkufunzi wa timu ya arsenal ya uingereza. NOSTALGIE. Le 22 octobre 1949,la naissance de ARSÈNE CHARLES ERNRST WENGER à Alsace en France, connu sous le…

KUMBUKUMBU: ALFRED BERNARD NOBEL

KUMBUKUMBU. ********** Tarehe 21 oktoba 1833, kuzaliwa kwa ALFRED BERNARD NOBEL stockolm uswidi, uyu ni mtunzi wa tuzo la nobel na kufariki tarehe 10 desemba 1896 nchini italia akiwa na umri wa miaka 63. NOSTALGIE. ******** Le 21 octobre 1833, la naissance de ALFRED BERNARD NOBEL à Stockolm suéde le fondateur du prix nobel qui…

KUMBUKUMBU. *  Tarehe 28 septemba

NOSTALGIE. Le 28 septembre 1988, La naissance de WEMA ABRAHAM SEPETU connue sous le nom de WEMA SEPETU, elle est une actrice tanzanienne donc elle joue dans des différents films. elle est née dans une famille de quatre enfants dont elle est la dernière. Le 28 septembre 2009, En GUINÉE CONAKRY, plus de 150 personnes…

Kumbukumbu: tarehe 24 septemba 2015

KUMBUKUMBU. * Tarehe 24 septemba 180, kuzaliwa kwa MIKHAIL VASILEVICH USTOGAOSKI mwana fizikia wa nchi ya ukraine aliyefariki tarehe 01 januari 1862 akiwa na umri wa miaka 61. Tarehe 24 septemba 2008, aliyekuwa rais wa pili mweusi THABO MVUYELWA MBEKI alinaliza muhula wake kama rais aliyeanza kutawala tanngu tarehe 16 juni 1999. NOSTALGIE. * Le…

NOSTALGIE: Le 21 septembre 1909,  la naissance de NKWAME

NOSTALGIE. Le 21 septembre 1909, la naissance du premier président ghanéen NKWAME NKRUMAH. Le 21 septembre 1676, BENEDETTO ODESCALCHI est élu comme pape de l’église catholique à l’âge sous le nom de INNOCENT XI.         KUMBUKUMBU. Tarehe 21 septemba 1909, alizaliwa rais wa kwnza wa Ghana NKWAME NKRUMAH Tarehe 21 Septemba 1676,…

Kumbukumbu: TWO PAC SHAKUR, ROBERT ROBINSON .

13 septemba 1996 amefariki msanii TWO PAC SHAKUR, akiwa na umri wa miaka 25 kwa kupigwa risasi ndani ya gari lake hapo nevada nchini Marekeni, amezaliwa 16 juni 1971, ameanza kazi zake mnamomwaka wa 1988 hadi alipofariki.na kazi zake ilikuwa; mcheza rap, muigizaji, mtayarishaji wa rekodi, mshairi, mwandishi~skrini, mwanaharakati na mtunzi.        …