Category: ___Darasa la Kiswahili

DARASA LA KISWAHILI: Tarehe 29 Januari 2016

Karibuni Kwenye Kipindi Cha Leo tarehe 29 januari 2016. 1. RAFADHA(MARAFADHA wingi); panka inayofungwa kwenye chombo ili kukiendesha, hélice kwa kifaransa. 2. BAHARIA; mtu anaefanya kazi katika chombo cha bahari,sailor kwa kiingereza. 3. KUNUSURIKA;kuokoka katika ajali. 4. NUSURA(MANUSURA wingi);mtu alieokoka kwenye ajali,survivor kwa kiingereza. 5. ANJALI(ANJALI wingi);mkanda wa kiunoni. 6. DOMOMWIKO; ndege mkubwa mweupe mwenye…

DARASA LA KISWAHILI: Tarehe 22 Januari 2016

Karibuni Kwenye kipindi cha leo tarehe 22 januari 2016. 1. MABANO YA MRABA; alama zinazotumika kwa kufungia kitenzi,parenthèse kwa kifaransa. 2. DOBI; mtu anayefua ao kupiga pasi nguo kwa kulipwa pes. 3. SIAGI; mafuta yanayopakwa kwenye mkate ao kupikia keki ao vyakula vingine, butter kwa kiingereza. 4. SAJINI; askari mwenye cheo daraja moja zaidi kuliko…

DARASA LA KISWAHILI: Tarehe 15 Januari 2016

Karibu kwenye kipindi cha leo tarehe 15 Januari 2016. 1. TARAKILISHI; ni mashine inayopokea habari na kuishughulika kulingana na ratiba yake,ordinateur kwa kifaransa ao computer kwa kiingereza. 2. PUKU; ni kifaa chenye vitufe viwili cha kuingizia data kwenye tarakilishi,souris kwa kifaransa. 3. GLOPU; kitufe kidogo chenye umbo la mviringo mfano wa yai kilichotengenezwa kwa kioo…

DARASA LA KISWAHILI: Tarehe 08 Januari 2016

Karibu katika kipindi cha leo tarehe 08 Januari 2016. 1. POSTA: kituo cha kutuma ao kupokea barua ao mizigo. 2. TARISHI: mtu anaekuwa kwenye posta akiwa na kazi ya kugawa barua kwa wenyeji,kwa kifaransa ni facteur. 3. MKONGOJO; mti ao chuma kinachomsaidia mzee ao mlemavu kutembelea,kwa kifaransa ni bequille. 4. KOMBA(MAKOMBA wingi); mnyama mdogo mwenye…

DARASA LA KISWAHILI: Tarehe 01 januari 2016

Karibuni katika kipindi cha leo tarehe 01 januari 2016. 1. JAHAZI: ni chombo cha usafiri majini kilichofunikwa juu kwa kitambaa. 2. ABIRI: ni kujipakiza ndani ya chombo cha usafiri, mfano; hivi sasa ninaabiri ndani ya ndege ili kuja uvira. 3. ABIRIA: mtu anayepatikana ndani ya chombo cha usafiri,passager kwa kifaransa. 4. CHOTARA: mtoto aliepatikana kutokana na wazazi…

DARASA LA KISWAHILI: Kipindi kipya tokea 01 january 2016

DARASA LA KISWAHILI. Kwa kuwa UviraOnline ni jarida ambalo msomaji wake anapata habari na vipindi tofauti kwa lugha za kiswahili na kifaransa. Ni kwa sababu hiyo uongozi umeona ni vizuri kuanzisha kipindi hichi ili msomaji aelewe anachokisoma. Kila siku ya ijumaa mtakuwa mkipata kipindi chenyewe kikitayarishwa na mtangazaji wenu kiza DJUMA Akbar UviraOnline, huku kipindi cha…