Burundi imepinga amri yakurudisha nyuma uchaguzi

Raisi Nkurunziza alipokua anatoa tangazo hili kwenye radio
Raisi Nkurunziza alipokua anatoa tangazo hili kwenye radio

Burundi imepinga amri yakurudisha nyuma uchaguzi. Uchaguzi wa Rais ni 15/07/2015 na wanao jiingiza kwaundani wajuwe Burundi ni taifa Uhuru asema ivyo Raisi wa Burundi Nkurunziza.

Kikao cha Dar kilikuwa kimemteuwa Raïs wa Uganda Museveni kusimamia kama msuluhishi. Amepingwa kabla hajaanza chochote na kuujiuliza yeye kishaongoza mihula mingapi?
UviraOnline