Bukavu-RDC: Mufanyakazi huuwawa mu kilabu ILE DE PAQUES

Ile de paquesKatika kilabu cha kununuliya ndani vinywaji kiitwacho YAYA CENTER kwa sasa kinachukuwa jina la ILE DE PAQUE kumekutwa mfanya kazi mmoja kupoteza maisha kwa kuhuwawa ndani ya chumba hiyo usiku ya jana kuhamkiya leo siku ya pili decemba 29/2015.

Duru tulizozipa toka mahali hapo zinaeleza kwamba ni malaya mmoja ndiye aliweza kumupiga chupa shingoni na mara moja kijana patrick akapoteza maisha,utafahamu kwamba kijana huyo patrick alikuwa mutumishi ndani ya kilabu icho ambapo alikuwa nausika na mambo ya music(DJ), polici ya mahali wanao kuwa hapa mtaani kadutu walianzisha mara moja uchunguzi wa musako ilikuchuwa chanzo cha tukiyo hilo. uilevile duru hizo ziliongeza kusema kwamba binti huyu ni binti alikuwa naishi hapo kwenye kilabu kwa kazi yake ya umalaya ambao wanawaita tchetche.

UiraOnline: Ndigoza Jefferson

One Comment - Write a Comment

Comments are closed.